Tuesday, August 20

Kahawa ya Neema craft workshop

   Zaidi ya lasagna tuliyopata pale Neema craft workshop iliyopo Iringa, tulipata wasaa wa kunywa kikombe cha kahawa. 
   Lulu aliagiza Cappuccino ambapo Beda yeye aliagiza Espresso, na chini ndio ushuhuda wetu.
   Espresso ya Beda ndo hiyo.

   Na Cappuccino ya Lulu ndiyo hiyo.

   Vimiminika katika picha ya pamoja yaani cappussino na Espresso
   Baada ya kula na kunywa kahawa tofauti, nini kiliendelea pande za Iringa? Karibu kesho kuona zaidi, hapa hapa menutime blogspot.

No comments:

Post a Comment