Friday, August 2

Desert iliyokuwepo Ijumaa ya futari iliyoandaliwa na Airtel

   Sasa pale mwishoni ambapo desert ndo sehemu yake ndo pamefika. Na tutaenda kuona jinsi maandalizi yaliyokuwepo kwenye kipengele hicho cha desert. Kulikuwa na matunda na vya usukari usukari kina visheti na wenzie pamoja na keki.
 Tuanze na matunda yaliyokuwepo, mapasheni yalikuwepo, matamu mno....

Nanasi pia zilikuwepo

Kwa wapenda papai nao walikumbukwa

  Tikiti maji si mpaka bwana daktari aseme 

Baada ya matunda tumaandazi tutamu tulikuwepo.... hivi ukiondoa desert vinanoga kwa kifungua kinywa na chai ya rangi

  Wale wa tamu tamu, visheti vilikuwepo

  Na hivi pia vilikuwepo kama vyote hapo juu hukupendezwa navyo

mmmmhhh 

pamoja na hii

  Mwisho wa mchezo ndo hapa.... tuliulizana ilipoisha vipiii hamna ingine?

  Twapenda kuwashukuru Airtel kwa kutukarimu kwa mwaliko wa futari. Wikiendi ndo inaanza na tuwatakie tu wikiendi njema yenya amani na baraka. Jumaa Kareem

No comments:

Post a Comment