Monday, August 5

Mambo ya wikiendiii

   Tukakatiza mitaa ya Kinondoni pale walipopita Rafiq, 
Tukaagiza ilee yaiwa "Kokoto veggie special" yaani ukifika ulizia hiyo afu mwachie bwana mpishi afanye mambo yake.


   Pembeni unaongeza na ndizi kiaina, unaagiza na kinywaji akaaaaaaa mchana au siku inapita.
   Wikiendi yako wewe umeitafunaje????

2 comments:

  1. Location please?????

    ReplyDelete
  2. Hapo ni Kinondoni kama watokea salenda unaenda kwa manyanya, kata mkono wa kwanza kulia baada ya barabara ya kushuka lidaz, kuna gereji hivi imepakana na kituo cha basi. Endelea na hiyo barabara, upande wa kushoto kuna flats, mbele yake kuna container chini ya mti. Simama hapo toa oda and enjoy menu hiyo.

    ReplyDelete