Tuesday, August 6

Iftar ya wafanyakazi wa Airtel

  Baada ya kufuturisha baadhi ya wateja wao, Airtel iliandaa futari kwa ajili ya wafanyakazi wake pande mbalimbali Tanzania. Sisi tutaripoti yalojiri Dar iliyo salama maana ndio tulipopata mualiko wa kuhudhuria (tuna partners pande hizo kina Hawaa Bayumi, Ramadhani King'oma, Lulu John M etc).
   Siku ilianza kwa tulivu, tende zilitayarishwa



  Uji na chai zenye viungo tosha zilikuwepo sehemu walipokuwa wamekaa wafanyakazi, ila mengineyo yalikuwepo mezani, karibuni. 
Tunaanza na sambusa na bajia


 Vitumbua vilaini vilikuwepo, na vilikua vitamu muno

  Vyuku sasa navyo viliwakilishwa

Kama walijua watoto wa A town na Moshi wapo kwa wingi mjengoni, hivyo nyama choma haiwezi kosa aseeee

  Chapati za kukanda, ndani ya nyumba. Kama vile walikanda wakitumia tui la nazi maana ulaini na ladha yake laaah

Kwa haraka haraka na pamoja, upande mmoja wa meza iliyoandaliwa maakuli ilionekana hivi...

.........Hayajaishia hapo, tunakuacha undelee na kazi, kesho tunamalizia mpango mzima.
Share nasi yatakayojiri katika sikukuu za iddi, na huwezi jua kuna zawadi tamu itatolewa. menutimes@gmail.com ndio barua pepe yet.

No comments:

Post a Comment