Usiku wa kuuaga mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka 2013, menyu tuliyoipenda zaidi kuila ni hiyo pilau.
Kwenye mlo wetu pembeni tumesindikizia na soda ya fanta, na kikorombwezo cha kachumbari.
Uzuri wa kachumbari ya pilau ni rahisi sana kutengeneza, maana mahitaji ni vitunguu maji, nyanya, chumvi na ndimu. Ukivichanganya vyote hivyo baada ya kukata kata, tayari ni kachumbari tosha iliyo tamu.
Menu Time team inawatakia kila la kheri katika kuukaribisha mwaka 2013
No comments:
Post a Comment