Leo ni siku tunakumbuka kuzaliwa kwa kaka yetu, Rafiq yetu, partner wetu, pia mshauri wetu, Kaka Ringo a.k.a Baba Alexie. Na kama ilivyo ada, kwenye sherehe ya kuzaliwa mwenzetu huwa tunasherekea ukumbusho wa kuzaliwa kwake.
Wifi ndio aliorganize mpango mzima wa keki. Hajatuarifu bado ameinunua wapi ila, ni tamu muno, tukijua wapi ilipatikikana, tutaja kuwajuza.
Keki ndo hii hapa...
Kutoka timu ya Menu Time tunakutakia kila la Kheri katika kuongeza miaka baba Alexie
No comments:
Post a Comment