Sunday, December 9

   Katika kusherekea sikukuu mbalimbali, tuna mazoea ya kuandaa tafrija fupi fupi. Sisi katika kusherekea miaka 51 ya uhuru wetu, tulisherekea kwa kupika pilau na kachumbari kama kikorombwezo.
   Tulishakujuza namna ya kupika pilau before, hebu ingia Mapishi time halafu angalia humo, kwenye mwezi wa tatu, tarehe 4, mwaka huu huu. Kichwa cha habari kilikua "Mapishi ya pilau - kama tulivyoahidi" utaona namna ya kuipika hiyo pilau.
   Pilau ikatokea kama hivyo hapo pichani
 
   Kachumbari ilikua hivi:
 
   Sasa baada ya kupakua, mlo ulionekana hivi.....
 
    Hii waweza kula na kinywaji cha aina yeyote, kutokana na mapenzi yako wewe kwa muda huo. Binafsi nilishushia na maji safi ya kunywa.
   Tujuze wewe na rafiqs na familia yako mlisherekea vipi miaka 51 ya uhuru???? tutumie picha pia, nasi tutashare.

No comments:

Post a Comment