Tuesday, November 6

Samsung week - Hoteli ya Golden Tulip

  Bado tupo kuwajuza yale yaliyojiri kule Golden Tulip Hotel, siku ya Ijumaa iliyopita ambapo marafiqs kadhaa tulialikwa kwenda kula chakula cha usiku kilichoandaliwa na kampuni ya Samsung.
   Baada ya chakula cha usiku, kilichofuata ni desert, ambayo kwa kuitizama tu, hakika inavutia sana. Ngoja tukuoneshe nawe pia uone desert gani ilitayarishwa siku hiyo
   Meza kwa mbali ilikua na muonekano huu hapa

Kwa karibu sahani hii ilikua na kalimati

Bado tupo upande wa desert.....

Matunda fresh pia yalikuwepo kwa waleee wanaofanya yale mambo ya diet

Utamu mtupu ulisheheni vyema

Chapati maji zenye kupakwa asali kwa ndani nazo zilikuwepo
 
Kashataaaaaaaa

Kama nilivyosema mwanzo, vinywaji navyo vilikuwepo, na hapa ni glass zikisubiri kutumika

    Na hivyo ndivyo tulivyowakilisha Samsung week and dinner party at Golden Tulip hotel last Friday. Special thanks tunazituma kwa Samsung, Golden Tulip Hotel pamoja na Spearhead company, kwa kutukaribisha na kutuwezesha kuchukua picha tuweze kuja kushare nanyi.
 
Kutoka Golden Tulip Hotel, pande za Masaki, Day iliyo salama, LJM wa Menu Time naaga!!

No comments:

Post a Comment