Monday, September 17

Snack - kula kula tyme

   Kuna siku unaamka hujisikii kula sana, au inapofika muda wa menu, ghafla hamu ya kula inakata... usiwe na hofu wala shaka, waweza kujipatia moja ya haya, fruit salad, au green salad, lakini kama hivyo navyo haviendi, basi waweza kujaribisha viazi vya kukaangwa na kuku aliyewekwa viungo kuongezea ladha.
   Tutakuja kukujuza uzuri zaidi huyu kuku awekwaje viungo akolee na kupata ile ladha itakayokufanya ule hata kama hamu imeenda kwako
   
   Kikorombwezo chake ni mayonnaise, ambayo mie mwenzenu naipenda kupita maelezo.
Rafiqs tujuzeni pale ambapo huna hamu ya kula ni nini unafanya au ni menyu gani unatayarisha na unaitayarishaje? tutumie kupitia menutimes@gmail.com nasi tutashare.

No comments:

Post a Comment