Tuesday, September 18

Vyakula vya majini a.k.a Sea food platter

   Mmoja wa wapenzi wa mlo kutoka majini, iwe ziwani au baharini ni  mimi. Huko tunaongelea kina samaki aina mbalimbali kuanzia changu, sato n.k, pia kuna kamba, crabs na wengineo wengi tu, ambao wakikutanishwa na moto na viungo vingine katika upishi tofauti tofauti, basi utamu unaelezeka kiutofauti pia.
   Kutoka Afrika ya Kusini tunaona menyu waliokuwa wakipata Rafiqs zetu


  Ni mchanganyiko wa vyakula vya majini a.k.a sea food wa kutosha ukiwa unasindikizwa na viazi kaanga a.k.a kiepe a.k.a chips. Kikorombezwo kwa pembeni pale ni ndimu na kwenye bakuli kule kuna mayonnaise na salad flani hivi, halafu kishushio naona fanta ya kopo.
   Mimah a.k.a Mama Zee ndio aliyetufikishia menyu hii kwenye mikono yetu. Asante sana!!

3 comments:

  1. If u ever visit SA, go to Ocean Basket to Enjoy that delicious sea food platter. Very Mouth WATERING *wink*

    ReplyDelete
  2. Lulu pls ask hii ni wapi na bei... Nataka hata kesho nilale. George (T.Bonaz)

    ReplyDelete
  3. George wa T.Bonaz asante kwa swali. Kama rafiq alivyosema hapo juu kwamba, inapatikana South Africa, sehemu yaitwa Ocean Basket, kisha ulizia menu hiyo ili uifurahie, naamini ukifika kule bei haitajalisha. Usisahau kutuhabarisha ukifika pande hizo

    ReplyDelete