Monday, September 24

Breakfast toka Team ya MenuTime

  Leo tunaonesha kifungua kinywa a.k.a breakfast kilichotengenezwa na kuliwa na mmoja wa wanatimu wa Menu Time.


   Kuna mikate ya kuokwa, mayai ya kukoroga a.k.a scramble eggs, chai ya maziwa yenye viungo na ndizi mbivu kama tunda.
  Share nasi unachokula tutumie kupitia info@menutimetz.com pia menutime@menutimetz.com. nasi tutashare na wenzetu!!

No comments:

Post a Comment