Tuesday, September 25

Ugali toka kwa Rafiq & Partner wa T.Bonaz

   Tunapata picha toka kwa Rafiq na Partner wa T.bonaz aitwa George huyu, naye ameshare nasi picha ya menyu aliyokula siku za karibuni. Picha ndio hiyo hapooo...
 
 
 Kuna ugali, kuna mchuzi wa kuku na mboga mboga iliyopikwa na karanga na nazi. Hii imepikwa nyumbani kwao. Ukishushia na maji safi ya kunywa unashibajeeeee!!
  Tujuze wala nini kupitia info@menutimetz.com au menutime@menutimetz.com nasi tutashare nanyi.
   George asante sana partner!!!

No comments:

Post a Comment