Thursday, March 8

Siku ya Wanawake Duniani

   Leo ni siku muhimu sana duniani, ni siku ya Wanawake duniani. Kila tarehe 8 ya mwezi wa 3 huadhimishwa duniani kote tukithamini mchango na uwepo wa wanawake duniani.
   Kutoka Timu ya Menu Time tunapenda kuwatakia siku njema na mafanikio mema na kila la kheri katika yote mfanyayo.
Ujumbe wetu kwenu ni huu !!!!!



1 comment: