Wednesday, March 7

Nakuonjesha mahanjumati ...

   Jumamosi nilialikwa kwenye maulidi kule Mikocheni.........
Nakuonjesha kidogo sahani yangu afu ntakuja kukujuza zaidi kuhusiana na menyu iliyokuwepo na mpango mzima.

   Pia kulikua na pilipili na achali flani ambazo utengenezaji wake sikuupata kwa siku ile. Ila utamu wake balaaaa!!!
   Kutoka Mikocheni, naarifu LJM.

No comments:

Post a Comment