Tuesday, March 6

Nakumbuka Kigoma

   Imepita muda mno napamiss Kigoma. Sijajua ni dagaa wale au ni migebuka ndio ilinchanganya, au ni marafiq niliokutana nao. Moja ya menyu ambayo tulipata kula tukiwa A'z joint iliyopo Mji mwema ni hii

   Inaitwa Porata. Ni mchanganyiko wa chipsi na kuku rosti na mbogamboga zilizotumika wakati wa kurosti hiyo kuku. Kisha vyapakuliwa na kuwa tayari kwa kuliwa.

   Pata picha kwa karibu zaidi. 

    Tutumie picha toka mkoa wowote!!

No comments:

Post a Comment