Friday, January 13

Kutoka kwa Rafiq - Hong Kong

 Kaka yangu Lucian Mashobe ameshare nasi menyu hii akiwa Hong kong.


 Yaitwa  Shreded chicken soup na ameisifia mno. Itabidi tumuombe kaka Lucian aongee na mpishi atupe maelekezo namna ya kuipika nasie tujaribu popote tulipo.
Asante sana kaka Lucian kutoka HK

No comments:

Post a Comment