Thursday, April 28

Dinner time


Usiku wa leo,


Menu yangu ni Viazi vya kukaanga, kuku wa kukaanga, salad yenye vitunguu, nyanya na ndimu na mboga za majani. Shushia na maji baridi aaah. Karibuni

No comments:

Post a Comment