Leo niliingia jikoni nkisaidiana na mama mzazi kutayarisha mlo wa usiku, na hiyo ndo menyu tuliyopika.
Yaliyomo: Wali nazi, Mchicha wenye karanga, kipande cha samaki cha kukaanga na salad yenye parachichi, nyanya, chumvi, pilipili na ndimu. Binafsi nlishushia na juisi.
No comments:
Post a Comment