Friday, April 29

Menyu ya Usiku

   Usiku wa leo niliingia jikoni na kupika chakula cha usiku, mbacho ni Wali wa nazi, Viazi vya kukaanga, Samaki wa kukaanga na mchemsho wa mboga mboga. Binafsi nilishushia na juisi ya maembe yuuuumy!!

 
   Kujua namna ya kupika ingia kwenye Mapishi time na utaona pishi hilo jinsi mie nilivyolipika.
Karibuni ...

No comments:

Post a Comment