Saturday, July 25

Menu ya Kitaani



  Leo tupo pande za sinza kwa wajanja kwenye ile pub yetu ya mama Lulu a.k.a bibi menutime na tumekutana na foil ya ng'ombe pamoja na ndizi.
  Wameniambia hivi, pamesheni mno yaani menu za mchana kama kawa zinapatikana. Kuna bufee ambapo utakutana na menu kadha wa kadha na tutarejea kuwajuza ni menu gani.



Posted by Lulu John wa Menu Time


No comments:

Post a Comment