Wednesday, February 5

Mchana ndio huu....

  Hivi umewahi kufika sehemu ukaagiza pilau, kisha ukaletewa wali weye viungo na nyama kwa pembeni ikaitwa pilau?
  Na wana bango kubwa limenadi pilau nyama, pilau mbuzi  na hata pilau kuku.... binafsi huwa sipendi, maana nataka kuisikia ladha ya viungo kwenye ile nyama. 
   Leo twala pilau, ambapo tumepishana nayo kitaani na hii nyama zake zilipikwa ndani 

  Karibuni Rafiqs!!

No comments:

Post a Comment