Asubuhi ya leo, kutoka jikoni kwetu tumefungua kinywa namna hii.
Kuna mayai yaliyovurugwa huku yakikaangwa na vitunguu maji, nyanya, chumvi kidogo na maziwa.
Mikate imepakwa siagi upande mmoja na peanut butter upande wa pili vikisindikizwa na chai ya maziwa.
Hapo ulipo tayari ushaianza siku yako kwa kupata menu yoyote???
Hapo ulipo tayari ushaianza siku yako kwa kupata menu yoyote???
No comments:
Post a Comment