Leo tumeamka namna hii, yaani kwa menu hii na kufungua kinywa hivi... Tuna ndizi tamu zenye kupikwa na iliki na nyama rosti, huku tukisindikizwa na chai ya rangi.
Asante dada Fatma, kwa kushea nasi picha na pia kwa kutuonjesha, ubarikiwe sana. Rafiqs karibuni kutujuza menu zenu kupitia www.menutime.blogspot.come.
No comments:
Post a Comment