Tumeamkaje Rafiqs asubuhi ya siku ya nne katika juma hili??? Hali ya hewa Mwanza bado ni nzuri mno. Baridi kwa mbali na hakuna jua.
Asubuhi tumefungua kinywa namna hii....
Kuna supu ya ng'ombe, maini ya kurosti pamoja na maji ya matunda.
Hapo ulipo, popote pale ulupo wewe Rafiq..... je, umefunguaje kinywa?? Tujuze kupitia www.menutime.blogspot.com

No comments:
Post a Comment