Bado tunaendelea kupokea Upendo mwingi kutoka kwa partners na Rafiqs wetu toka pande balimbali duniani.
Na hii ni moja wapo ya menu aliyoshare nasi Rafiq yetu Peter kutoka State
Kuna nyama ya ng'ombe pamoja na salad.
Asante sana Peter kwa kushare nasi menu uliyopata pande hizo
No comments:
Post a Comment