Friday, November 15

Makange ya Kuku

Ni Ijumaa nyingine tulivu, ambapo bado tupo pande za Mikocheni hapa hapa dar iliyo salama. Wiki ijayo tutaangalia milo tuliyopishana nayo Shinyanga, Kahama na Bulyanhulu.
  Kwa kumalizia wiki, tunarejea pale Rose garden maarifu sana kwa makange ya kuku. Kama yaonekanavyo kwenye picha yanajielezea uzuri, na hatuhitaji kusema sana...... Enjoy Furahi day hii
Tunawatakia wikiendi njema yenye mapumziko ya kutosha. Tufwate kwa instagram kupitia @menutimes, pia kwa twitter kupitia @menutimetz. Face book page yetu ni www.facebook.com/MenuTime.

No comments:

Post a Comment