Sunday, September 8

Samaki wa Ziwa Viktoria.


Sangara akiwa tayari kwa kuuzwa, ili akapikwe na kuliwa kama mboga



Mchemsho wa samaki ukiwa na mboga mboga

   Sato aliyekaangwa kisha akaungwa na mchuzi na pembeni kuna yai la kukaangwa

Sato wakiwe wamechanganywa ni viungo na mboga tayari kwa kuokwa

 Sato ambao tayari kwa kupakuliwa baada ya kuokwa

   Tujuze je, wapenda kula samaki wa aina gani? apikwe vipi?

No comments:

Post a Comment