Friday, September 6

Nyama Choma Festival

    Jumamosi hii, yaani kesho tarehe 07.09.2013, tutakuwa viwanja vya Posta pamoja na wadau wengine katika lile tamsha la Nyama Choma Festival.
  Menu Time inawaleta vijana wa Legitimate na watakuwa pamoja siku nzima katika kuhakikisha Rafiqs mnaenjoy milo toka kwao. 
   Kwa kuonesh wapo serious, karibu pata ujumbe zaidi....
   Hii sio ya kukosa, tukutane pande zile, mida ya kuaznia saa 7 za mchana. njoo wewe, wale, wao, na waite rafiqs zao. 
   Seee you there!!

No comments:

Post a Comment