Tuesday, September 11

Picha toka kwa Rafiq

   Kila msomapo post inayowahusu T.bonaz naamini jina linalokuja kwa haraka ni Jovin, maana ameshare nasi picha kadhaa za menyu mbalimbali anazotayarisha na kula awapo kwake. Leo kutoka T.bonaz (maana ni timu ya watu wawili kama sikosei,) anakuja mdogo mtu aitwae George, ambae naye ameshare kile alichokula.


   Alisema kuna viazi vilivyokaangwa, lobster na kamba a.k.a prawns. Natafuta kuja kiswahili cha lobster ni nini? ila menyu hii ilihusika sana na viumbe wa majini a.k.a sea food
   George wa T.bonaz asante sana kwa kushare nasi.

2 comments: