Wednesday, September 12

Brunch toka Afrika ya Kusini

   Brunch ni mpango mzima ambao wengi tumeamua kuufanya haswa pale tunapotaka kukutana na marafiqs au familia wakati wa wikiend. Mara nyingi wengi hupendelea siku ya Jumapili. Nitakuja kukujuza za hapa nyumbani Hoteli zipi zinafanya mambo haya na yanagharimu kiasi gani.
  Kutoka South Afrika a.k.a kwa Madiba Rafiq Mimah, Mama Zee ameshare nasi menu aliyopata alipokwenda kusalimia Rafiqs wake


  Alisema waliipata pale Adega portuguese Restaurant na waliinjoy sana yeye na marafiqs zake, kabla ya kurejea nyumbani Dar iliyo Salama.
  Kutoka kwa Mimah, Menu Time inasema Bai Dankie.

No comments:

Post a Comment