Popote mlo wapatikana, kubadilisha mandhari ndio mpango mzima. Tumerejea Dar iliyo salama baada ya mapumziko na haya ndiyo yaliyojiri......
Hii sehemu naongelea Zuane Trattoria Pizzeria inahusika sana na menyu zenye asili ya uitaliano, ni muhimu kupatembelea ili nawe upate ladha tofauti kidogo. Sio lazma tusafiri kwenda Italy tuweze onja ladha ya menyu zao laaaah, wamekusogezea hadi mlangoni hapa Dar iliyo salama.... kazi kwako.
Ya kwanza naileta kwenu yaitwa Lasagne, ndo hii hapa

Ya pili ni tambi na sea food haswaa yafahamika kama "Spaghetti ai fruttidi mare" Naamini jina lipo sawa!!!.
Tutarejea kuwajuza mengineyo mengi kutoka pande za uzunguni kama inavyojulikana, naongelea Oysterbay
Toka Zuane LJM wa Menu Time naarifu.
No comments:
Post a Comment