- Samaki (sato)
- Nyanya na kitunguu
- Mayai matatu
Kaanga mayai kwanza, kisha yaweke pembeni.
- Weka samaki wako kwenye sufuria na maji ya kutosha kisha injika kwenye moto
- katakata nyanya na vitunguu kisha weka pamoja kwenye sufuria moja na samaki
- Acha nyanya na samaki vichemke pamoja ila usiweke mafuta, bali tia chumvi kidogo
Uache mlo wako uchemke mpaka rangi ibadilike na kuwa ya njano, Kisha weka yai lako na ufurahie mlo.
karibuni sana
No comments:
Post a Comment