Burudani ya muzik was great, zilipigwa oldies za kufa mtu na DJ Boniluv akifuatiwa na wengine, pande za drinks kuanzia soft, hard mpaka lambalamba kwa watoto zilikua pale, kids walifurahi kwenye corner yao with lots of games na michoro. Na haswaa kilichotukutanisha pale kiliandaliwa vyema. Kulikua na mabanda toka sehemu mbalimbali uzijuazo wewe na mimi zinazopika nyama tamu ya kila aina. chaguo lilikua lako muda na nguvu navyo vilikua uamuzi wako.
Nisiseme mengi nakujuza kwa picha haswa pale menutime inapohusishwa. Karibu
Menutime inaendelea kuwakilisha:
Mishikaki mbona kama imemwagwa chini kwenye udongo au macho yangu !
ReplyDeleteHiyo ni meza ya mbao Rafiq, ila rangi yake ndio kama udongo. Picha ilipigwa ikifocus kwenye nyama na hivyo haikuonesha meza na mengineyo. Nyama zilikua salama na safi kwa matumizi ya binaadamu.
ReplyDelete