Wednesday, September 21

Nyama Choma Festival - Jumamosi hii 24.09.2011

Hii sio ya kukosa maana kutakua na Nyama za aina mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali, naongelea kutoka Kisuma bar (Temeke), Rose Garden (Mikocheni), Kwa Mfojo (Tabata)..... n.k
Kutakua na nyama hizi: Masaki Mishkaki, Nyama ya Swala, kuku tandoori, Foil Fish, na  nyingine nyingiiiiii .......
Wapenda muziki msiwe na shaka, kutakua na kuburudishwa na muziki toka kwa maDJ wakali nawaongelea DJ Bonnyluv, DJ Stevie B, DJ Too short na wengine kibao.
Watoto wametengewa sehemu yao wakiandaliwa michezo mingi.....
Hii siyo ya kukosa!! Karibu tule Nyama!!!!!!!
Menutime hakika tutakuwepo!!!

No comments:

Post a Comment