Chakula ni kitu ambacho kinapaswa kutengenezwa na kuhifadhiwa kwenye sehemu yenye usafi wa hali ya juu na muonekano wa kuvutia na mzuri.
Binafsi Coco beach tunaponunua mihogo na viazi, eneo lake halijaniridhisha kwa kweli. Nahisi kama wangeweza kupatengeneza vyema zaidi. Labda wangeweka mabati au makuti kujikinga na mvua na jua, wengekuwa na mapipa ya maji kuhifadhi maji mengi kwa usalama, na meza kubwa kutosha kuweka bidhaa zao, naamini kama pangekua pana muonekano mzuri zaidi.
Hivi ndivyo panavyoonekana kwa sasa, toa ushauri wako Je, pana hitaji kuboreshwa? au tuendelee tu? Karibu...
Kweli kabisa
ReplyDelete