Tumezoea kuunywa Mtori kwenye bar au hotels, mida ya asubuhi kama kifungua kinywa, tukishushia na chapati au andazi.
Leo nyumbani mama ameamua kupika kama Lunch. Kwenye picha unaonekana mtamu.... Nakuhakikishia ni mtamu.
Kujifunza namna ya kupika mtori (Orijino) nikimaanisha ule ambao unapikwa Rombo, Moshi basi karibu kwenye Mapishi time.
Kama nilivyoelekezwa na mama, nami nakuelekeza. Ukifanikiwa kupika nijulishe, na kama utaweza piga na picha nitumie kupitia menutimes@gmail.com
No comments:
Post a Comment