Chakula nilichokula mimi na familia yangu siku ya Pasaka. Wapishi walikua ni dada na wifi yangu.
Yaliyomo: Viazi kukaanga, Kipande cha Kuku, vipande vya mdudu, wali wa nazi, rosti ya kuku, mchicha na chapati. Binafsi nlishushia na Fanta passion bariiidi.
No comments:
Post a Comment