Saturday, April 23

Mlo wa Mchana

Jumamosi tulivu, dada yangu aliamua kuingia jikoni na kutupikia menu hiyo.
 
 
Yaliomo: Wali wa rangi , rosti ya nyama ya Ng'ombe, viazi vya kukaanga kidogo na kachumbari. Binafsi nlishushia na maji baridiiii.

No comments:

Post a Comment