Napenda kula muda wowote na popote nilipo as long as sehemu ni safi na naamini sitapata madhara yoyote. Nilikua Coco beach nikaagiza ndizi mzuzu 2 na mishkaki 2.
Aisee hawa jamaa wako safi, chachandu nayo imetulia. Yote kwa sh 4,000 tu za kibongo.
safi
ReplyDeleteAsante
ReplyDelete