Tuesday, April 15

Kifungua kinywa Moshi

   Baada ya mlo mzito wa siku iliyopita, na kulala na uchovu baada ya safari za Rombo Mkuu na Kilaracha, tukaamka tukitafuta heavy breakfast, ila hamu ilikua kwa menu ya kizungu kidogo.
   So tukaenda Kili-Java na menu tuliyoipata ni hii hapa
Kulikua na Cappuccino

Pamoja na hot choco

  Walisema hii ni hash brown, scramble eggs na sausage

   Kisha kulikua na vipande vya mikate iliyookwa pamoja na chapati maji a.k.a pancakes

   Na kumalizia tulishushia na matunda ya zabibu yasiyo na mbegu, tulinunua matunda haya supermarket ya Nakumat
 
   Baada ya mlo wote huo, tulikua tayari kwa shughuli nyinginezo, kabla ya mlo wa mchana. Tutarejea kesho kuwajuza mlo maarufu tulioupata mchana wa siku hiyo.

No comments:

Post a Comment