Friday, March 21

Mwanza Mwanza a.k.a Rock city

   Wiki iliyopita kuna Rafiqs walitembelea Mwanza, na waliporejea wameshare nasi stori za maneno pamoja na picha walizopiga huko Mwanza.
  Pia walituletea zawadi ya samaki, na kama ilivyo ada ukiwa pande zile shurti upite Villa park wanaojulikana kwa upikaji tofautitofauti na upishi wote ni mtamu wa samaki pamoja na vyakula vingine. Ukifika muulizie meneja Rama naye atahakikisha vyote vyaenda salama.
  Moja ya msosi walipata pale ni samaki, na ushuhuda wake ni huo hapo chini


   Asanteni sana Prosper na Richie wa Airtel kwa stori, picha pamoja na samaki mliotuletea. Tutawaandaa kisha kuwaalika muje kujumuika nasi katika msosi.
   Team Menu Time inawatakia Rafiqs wote, muwe na wikiendi njema yenye Amani, na tuonane wiki ijayo, hapa hapa

No comments:

Post a Comment