Kutoka pande za SeaCliff ulipo mgahawa wa Karambezi, kuna menu ambayo tulikula na Rafiqs kadhaa ambao tulisoma pan=moja miaka ya nyuma.
Menu zenyewe ni pamoja na
Macaroni yenye kamba
Nyama ya ng'ombe na viepe vikisindikizwa na salad na sauce
Katika mtazamo tofauti kidogo
Waweza pita hapo kuwajulia hali. Pande za Masaki wapo hapa hapa Dar iliyo salama
No comments:
Post a Comment