Monday, March 3

Chakula cha usiku a.k.a dinner Uchinani......

    Siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita, marafiqs tulikutana mgahawa ujulikanao kama Great wall of China, pande za Oysterbay hapa Dar iliyo salama.
  Menu zilikuepo za aina nyingi, zikiwemo hizi....
Kutoka majini a.k.a sea food kulikua na samaki aliyepikwa kwa kutumia mvuke a.k.a steamed fish fillet pamoja na ngisi aliyepikwa katika sosi ya oyster a.k.a Squid in oyster souce
 


Hawa ni vipande vya kuku a.k.a chicken cubes in veggies souce


Kamba waliowekwa ladha ya utamu na uchachu a.k.a prawns weet and s


Nyama ya ng'ombe pia ilikuwepo na ilijulikana kwa jina la beef in black pepper sauce


Wali uliochanganywa na vipande vya kuku ulikuwepo


Tambi zilizochanganywa na nyama ya ng'ombe zilikuwepo


  Hapo juu ni pamoja na mlo wa usiku tuliotayarishiwa pale kwenye mgahawa. Hope nawe ulikuwa na wikiendi nzuri.
   Tujuze wiki hii mmejipangaje?? anwani yetu ni menutimes@gmail.com 

No comments:

Post a Comment