Leo twarejea Dar iliyo salama na usafiri wetu wa angani upo alfajiri, hivyo tukadamka tukafungua kinywa kama ionekanavyo hapo chini, kisha tukawahi kituo cha ndege.
Asanteni sana Mwanza, Musoma na Geita. Tumefurahi kula na kunywa nanyi na tumejifunza mengi. Inshallah tutaonana karibuni.
Mbaki salama na siku njema kwenu.
Asanteni sana Mwanza, Musoma na Geita. Tumefurahi kula na kunywa nanyi na tumejifunza mengi. Inshallah tutaonana karibuni.
Mbaki salama na siku njema kwenu.
No comments:
Post a Comment