Thursday, January 30

Menu ya mchana

Morogoro tulifika salama salimini. Na tukafanya yaliyotuleta hapa na mchana ulipofika tukapata chakula cha mchana
  Kulikua na ugali wa muhogo, spinachi na kuku chukuchuku.


  Hali ya hewa ni nzuri mno, tutaendelea kuwajuza yatayojiri.

No comments:

Post a Comment