Monday, December 30

Menu toka kwa Rafiq

 Ni furaha kwetu pale tunapopata emails, picha, salamu kutoka kwa rafiqs mbalimbali mkishare nasi yalojri pande zenu.
 Kutoka kwa ni Haika Mtei ambaye ni mdau mzuri sana wa Menu time, ameshare nasi moja ya menu aliyopata siku za karibuni
  Alisema alikipata kutoka mgahawa wa wathailand yaani Thailand restaurant na hapo kuna beef curry pamoja na steamed rice
   Asante sana bi Haika kwa kushare nasi
 

No comments:

Post a Comment