Monday, December 16

Kiburu.....

   Kila nimtembleapo mama Lulu, huwa lazima nipate chakula nyumbani kwake, na katika tembelea zangu hapo nyumbani kwake, nilikuta amepika kiburu. Hii ni menu toka kule kwetu Kilimanjaro, ambapo muonekano uko hivi

  Hapo kuna mchanganyiko wa  ndizi mshale na maharagwe, kisha nikajisindikizia na ndizi mbivu, huku pembeni nina kikombe cha mtindi.
   Ntajifunza je, twapikaje kiburu hiki, kisha niwajuze

No comments:

Post a Comment