Friday, November 29

Karambezi Cafe iliyopo Sea Cliff Hotel.

  Tunakupanga uwe tayari na menu ya mchana kwa siku ya leo. Sisi tumepata picha toka kwa directors ambao walikutana jana katika mazungumzo yao pande za Masaki, Hoteli ya seaCliff, mgahawa wa Karambezi Cafe. 
  Ukiondoa mengineyo ugonjwa wao ni macaroni na hii ni menu waiyoipata.
Ya kwanza ni macaroni yalochanganywa na prawns a.k.a kamba pamoja na nyanya na sauce ya maana, pembeni kuna jibini ya kuongeza iwapo wapenda extra jibini
 
  Ya pili ni tambi ndefu zenye prawns a.k.a kamba pamoja na vipande vya kuku na mboga mboga, hii ina pilipili zaidi kulingaisha na ya awali

  Tunaamini tumekupa hamu kama si mshawasha wa kuangalia je, mchana wa leo utapata menu gani na wapi, ukiwa na kina nani na utashushia na nini.
  Ukishajua tujuze, waweza share your photo pia kupitia menutimes@gmail.com.
Yatakayojiri wikiendi hii kwetu ni kusherekea birthday ya ndugu, jamaa na Rafiqs wa Menu time, hivyo more photo zitaja wiki ijayo.
Kwenye social media tupo 24/7 and 7days a week and 365 days a yera...wewe tu!
  Twawatakia Blessed Wikiendi!! Team MenuTime

No comments:

Post a Comment