Thursday, July 11

Machalari ya kuleee Moshi - Kilimanjaro

   Kutoka pande za Kilimanjaro, Moshi naongelea kwa wachagga, Rafiq yetu Tonny yuko pande zile na amewakilisha menu ya mchana wa leo aliyoipata, yajulikana kama ndizi nyama kimjini, ila kinyumbani ni machalari. 
   Tupate muonekano, utamu kapata yeye

  Sasa nyama imechanganywa  na utumbo, kama nawaona kina Mangi udenda unavyowatoka... Karibuni na asante sana Tonny kwa kushare nasi picha ya msosi wako.

2 comments:

  1. nimekumbuka kwetu yelewiiiii

    ReplyDelete
  2. Tunafuraji kuwa moja ya sababu ya kukumbusha nyumbani kwenu

    ReplyDelete