Wednesday, June 19

Wali, mchele, ubwabwa n.k

Kuna aina kadhaa za upishi wa mchele, waweza pata wali mweupe, pilau, wali mbogamboga, au ukachanganya na nyama yeyote yaani ni wewe tu na uamuzi wako.
  Hapo ni wali mweupe ulochanganywa na karoti na njegere

Kisha kuna wali mchafu

Kuna wali ulochanganywa na mboga na mayai
  We unapenda upi zaidi??

No comments:

Post a Comment